sokabrain
Mchambuzi_HururuKagera Sugar
20 Sept 2026
Utabiri wa Mechi

Utabiri: Nani atashuka daraja msimu huu kati ya timu zilizo chini?

Tofauti ya alama kati ya nafasi ya 12 na 16 ni ndogo sana. Kagera Sugar, Pamba Jiji na Dodoma Jiji wote wanapambana. Weka utabiri wako hapa bila upendeleo.
💬1

Mawazo ya Wana-Kijiwe1

Unaandika kama:Shabiki mgeni(Simba SC)
Pamba_Nguvu_Moja• Pamba Jiji
20 Sept 2026

Nyamagana hatoki mtu! Pamba tutabaki Ligi Kuu, uwanja wa nyumbani ndio ngome yetu.