Kaka_KahawaSimba SC
20 Sept 2026Chombeza & Utani
Utabiri wa wikendi hii: Nani atalala na viatu kati ya Simba na Azam?
Kahawa imeshachemka hapa kijiweni. Kila mtu anatamba na kikosi chake. Mashabiki wa Azam wanadai chamazi hakuna njia, lakini Mnyama anasema hajawahi kufeli mechi za ufunguzi wa mwezi. Tupia tabiri yako ya magoli!
Mawazo ya Wana-Kijiwe2
Azam 2 - 1 Simba. Feisal Salum anapiga bao la kideoni dakika ya 75. Weka hii akilini.
Sisi tunatamani watoke sare ya 0-0 wote wagawane pointi moja moja ili kileleni kubaki kuko safi!