Kahawa Joint & Chombeza
☕Vicheko, utani wa mashabiki, meme za soka, na ubishi mwepesi usio na hasira. Kaa chini unywe kahawa.
Mtindo_Wa_Soka• Young Africans• 20 Sept
Chombeza & Utani
Jezi kali zaidi ya msimu huu: Ni jezi gani imefunika viwanjani?
Kuanzia uzi wa kijani na njano wa Wananchi, uzi mwekundu wa Msimbazi, hadi uzi mpya wa Singida na Namungo. Ni jezi gani ukiona mtaani inavutia zaidi?
Kaka_Kahawa• Simba SC• 20 Sept
Chombeza & Utani
Utabiri wa wikendi hii: Nani atalala na viatu kati ya Simba na Azam?
Kahawa imeshachemka hapa kijiweni. Kila mtu anatamba na kikosi chake. Mashabiki wa Azam wanadai chamazi hakuna njia, lakini Mnyama anasema hajawahi kufeli mechi za ufunguzi wa mwezi. Tupia tabiri yako ya magoli!