Mtindo_Wa_SokaYoung Africans
20 Sept 2026Chombeza & Utani
Jezi kali zaidi ya msimu huu: Ni jezi gani imefunika viwanjani?
Kuanzia uzi wa kijani na njano wa Wananchi, uzi mwekundu wa Msimbazi, hadi uzi mpya wa Singida na Namungo. Ni jezi gani ukiona mtaani inavutia zaidi?
Mawazo ya Wana-Kijiwe1
Uzi wa Coastal Union wa nyumbani (Wagosi wa Kaya) una ubunifu mkubwa sana msimu huu!